SINGIDA YAWANOA WANAUSHIRIKA
Mrajisi Msaidizi wa Vyama vya Ushirika Mkoa wa Singida, Thomas Nyamba akiongea na Waandishi wa Habari. Mwenyekiti wa Chama Kikuu Cha Ushirika cha Wakulima Mkoa wa Singida (SIFACU LTD) Yahaya Ramadhani akiongea na Waandishi wa Habari Wajumbe wa Bodi na Watendaji wa Vyama vya Ushirika katika Mkoa Singida wakipewa mafunzo ...................................... John Mapepele na Rose Nyangasa, Singida Mkoa wa Singida umeandaa mafunzo ya siku tatu ya kuwajengea uwezo Wajumbe wa Bodi na Watendaji wa Vyama vya Ushirika katika Mkoa ili kuwasaidia kuacha kufanya kazi kwa mazoea ...