NANENANE DODOMA KUANZISHA MAONESHO YA KIMATAIFA YA UTALII WA MIFUGO
Mwakilishi wa Wakuu wa Mikoa ya Singida na Dodoma kwenye Maonesho ya Nanenane Kanda ya Kati, ambaye pia ni Mkuu ya Wilaya ya Bahi, Mwanahamisi Athuman Mukunda akijaribu kuendesha Trekta kwenye maonesho hayo leo, aliye pembeni yake ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi, Prof. Elisante Ole Gabriel, walio chini mwenye miwani ni Katibu Tawala Mkoa wa Singida Dkt. Anjelina Lutambi na Mkuu wa Wilaya ya Mkalama Mhe. Injinia Jackson Masaka wakishuhudia tukio hilo. Picha na John Mapepele Katibu Tawala Mkoa wa Singida Dkt. Anjelina Lutambi akitoa salamu za Mkoa wa Singida kwenye Paredi Maalum la Mifugo. Picha na John Mapepele Mfugaji wa Mifugo Juma Seleman kutoka Mpwapwa akipitisha Ng’ombe wake Mashindano maalum ya Paredi ya mifugo iliyofanyika kwenye maonesho ya nanenane kanda ya kati kwenye viwanja vya Nzuguni jijini Dodoma. Picha na John Mapepele Viongozi...